Dr. Lishe App

Kwa suluhisho bora na la uhakika la changamoto yako ya Afya

Kuhusu Sisi

GREENPHYTOTHERAPY CO.LTD Ni kampuni ya afya yenye namba ya usajili 165852877 yenye ofisi zake Dodoma mjini, tunatoa suluhisho na kudhibiti magonjwa yasiyoambukizwa yanayosababishwa na mtindo mbaya wa maisha mfano kisukari na changamoto zinazoathiri mfumo wa mmengenyo wa chakula kama vile bawasiri, matatizo ya kupata choo kigumu,chenye damu, kukosa choo kabisa n.k

Pia tunatoa program maalumu za tiba lishe zilizo andaliwa na wataalam wa afya, dietician and nutritionist zinazosaidia kuondoka changamoto mbalimbali za kiafya.

Tunatoa suluhisho la uhakika la Kisukari, bawasiri, changamoto ya nguvu za kiume na matatizo mengine ya uzazi kwa jinsia zote, vidonda vya tumbo,uzito mkubwa, shinikizo la juu la damu na shinikizo la chini la damu na changamoto nyingine za kiafya.

Makala Zetu

Kitabu cha nguvu za kiume

KITABU CHA TIBA LISHE NA NGUVU ZA KIUME, ni kitabu kilichosajiliwa chenye ISBN 978-9976-88-889-8.

Ni kitabu kizuri sana ambacho kila mwanaume wa karne ya 21 hatakiwi kukikosa kwasababu kinamfanya mwanaume kurejesha NGUVU ZOTE ZA KIUME, AFYA YA UZAZI na kuwa RIJALI TENA!

FAIDA ZA KITABU HIKI KITAKUSAIDIA KUTATUA KABISA CHANGAMOTO ZIFUATAZO:-
1. Kuwai kufika kileleni.
2. Kushindwa kurudia tendo la ndoa.
3. Kuchelewa kurudia tendo la ndoa.
4. Kukosa hamu ya tendo la ndoa.
5. Uume kusimama legelege.
6. Kushindwa kushiriki tendo la ndoa(Hanisi/Impotance).
7. Kutoa mbegu zisizo na ubora.
8. Kutoa mbegu zinazotoa harufu mbaya.
9. Kushindwa kutungisha mimba.

Shuhuda Za Wateja Wetu
Shuhuda Za Wateja Wetu
lishe bora kwa afya

save 10%

with your first order

Bibendum sit pharetra vitae pellentesque sodales neque mollis purus.