App ya DR.LISHE inapatikana kwenye simu janja yako kupitia playstore na AppStore.
DR.LISHE APP Imegawanyika katika menu kuu nne, Katika Menu ya PROGRAMS utaweza kujinyakulia programs nzuri za kitaalamu zilizo andaliwa na Wataalamu wa Afya, Nutritionists and Dietician.
Program zimebeba ulaji maalum na maandalizi ya vyakula maalum kulingana na Changamoto yako, tiba lishe ambayo utaiandaa mwenyewe hapo nyumbani kwako kulingana na kile kinachopatikana kwenye mazingira yako na uchumi wako, mtindo sahihi wa maisha utakao kusaidia kuiaga changamoto yako moja kwa moja, na mambo ya kuepuka katika ulaji wako maana changamoto nyingi huanzia tumboni.
BAADHI YA PROGRAMS UTAKAZOZIPATA NDANI YA DR.LISHE APP NI ZIFUATAZO:
1. MAGONJWA LISHE: i.e
a)Program ya Tiba Lishe ya mgonjwa Kisukari na ratiba ya ulaji na maandalizi ya diet yake Asubuhi, Mchana na Jioni kwa kila siku.
b)Program ya Tiba Lishe ya mgonjwa Presha na ratiba ya ulaji na maandalizi ya diet yake Asubuhi, Mchana na Jioni kwa kila siku.
c)Program ya Tiba Lishe ya kupunguza uzito na kuongeza uzito kwa watu wazima na watoto under 5years na ratiba ya ulaji na maandalizi ya diet yake Asubuhi, Mchana na Jioni kwa kila siku.
2. CHANGAMOTO ZA MFUMO WA MMENGENYO WA CHAKULA I.e:
a) Program ya Tiba Lishe ya mgonjwa Bawasiri na ratiba ya ulaji na maandalizi ya diet yake Asubuhi, Mchana na Jioni kwa kila siku.
b)Program ya Tiba Lishe ya kuondokana na changamoto ya choo kigumu na ratiba ya ulaji na maandalizi ya diet yake Asubuhi, Mchana na Jioni kwa kila siku.
c)Program ya Tiba Lishe ya kuondokana na changamoto ya choo chenye damu na ratiba ya ulaji na maandalizi ya diet yake Asubuhi, Mchana na Jioni kwa kila siku.
d)Program ya Tiba Lishe ya mgonjwa Kisukari na ratiba ya ulaji na maandalizi ya diet yake Asubuhi, Mchana na Jioni kwa kila siku.
e)Program ya Tiba Lishe ya kuondokana na changamoto ya kukosa choo kabisa na ratiba ya ulaji na maandalizi ya diet yake Asubuhi, Mchana na Jioni kwa kila siku.
f)Program ya Tiba Lishe ya kuondokana na tumbo lenye kujaa gesi na mingurumo na ratiba ya ulaji na maandalizi ya diet yake Asubuhi, Mchana na Jioni kwa kila siku.
g)Program ya kuondokana na vidonda vya tumbo.
3. MAGONJWA MENGINE I.e:
a)Program ya Tiba Lishe ya mgonjwa Figo ambaye hajafanyiwa dialysis na ratiba ya ulaji na maandalizi ya diet yake Asubuhi, Mchana na Jioni kwa kila siku.
b)Program ya Tiba Lishe ya mgonjwa Saratani ya tezi dume na ratiba ya ulaji na maandalizi ya diet yake Asubuhi, Mchana na Jioni kwa kila siku.
c)Program ya Tiba Lishe ya kuongeza CD4 kwa kasi kwa mgonjwa wa HIV/AIDs/UKIMWI na ratiba ya ulaji na maandalizi ya diet yake Asubuhi, Mchana na Jioni kwa kila siku.
d)Program ya Tiba Lishe ya kuongeza kumbukumbu na ratiba ya ulaji na maandalizi ya diet yake Asubuhi, Mchana na Jioni kwa kila siku.
4. CHANGAMOTO ZA UZAZI NA NGUVU ZA KIUME i.e
a)Program ya Tiba Lishe ya kuongeza idadi na ubora wa mbegu za kiume na ratiba ya ulaji na maandalizi ya diet yake Asubuhi, Mchana na Jioni kwa kila siku.
b)Program ya kuacha punyeto kabisa na kuondokana na madhara yake.
c)Program ya Tiba Lishe ya ku’balance hormone za uzazi na ratiba ya ulaji na maandalizi ya diet yake Asubuhi, Mchana na Jioni kwa kila siku.
📱Pia kuna Sehemu(menu) ya “LISHE HUB”. Hapa utapata habari lishe za kila siku za kutatua changamoto mbalimbali za kiafya na updates mbalimbali la lishe kutoka kwa Dr Lishe.
📱Pia kuna Sehemu(Menu) ya “DR LISHE SHOP”. Hapata utajipatia bidhaa mbalimbali kama vile products za kuondokana na changamoto mbalimbali na vitabu kutoka kwa Dr Lishe.
Na utaweza ku-order moja kwa moja kupitia whatsapp batani iliyoko nani ya Dr.LISHE shop.
📱Na mwisho Utaona sehemu(Menu) ya
“MY CONTENT”. Hapa utajionea huduma/bidhaa zako ulizozichagua kutoka kwa Dr Lishe App
👋USICHELEWE SASA…INGIA PLAYSTORE search “DR.LISHE” KISHA DOWNLOAD ILI UWEZE KUJIHUDUMIA MWENYEWE💪
Naomba ubofye sehemu ya ku’share hapo chini ya Video hii ili na wengine waweza kuipata App hii ya DR.LISHE🙏
Pata suluhisho bora la changamoto yako ya kiafya kutoka kwetu.
Sisi ni suhulisho la tatizo lako na magonjwa sugu. Green Phytotherapy clinic tunajali afya yako. Karibu tukuhudumie.