GREEN PHYTOTHERAPY CLINIC LIMITED

GREENPHYTOTHERAPY CO.LTD Ni kampuni ya afya yenye namba ya usajili 165852877 yenye ofisi zake Dodoma mjini, tunatoa suluhisho na kudhibiti magonjwa yasiyoambukizwa yanayosababishwa na mtindo mbaya wa maisha mfano kisukari na changamoto zinazoathiri mfumo wa mmengenyo wa chakula kama vile bawasiri, matatizo ya kupata choo kigumu,chenye damu, kukosa choo kabisa n.k

Pia tunatoa program maalumu za tiba lishe zilizo andaliwa na wataalam wa afya, dietician and nutritionist zinazosaidia kuondoka changamoto mbalimbali za kiafya.

Tunatoa suluhisho la uhakika la Kisukari, bawasiri, changamoto ya nguvu za kiume na matatizo mengine ya uzazi kwa jinsia zote, vidonda vya tumbo,uzito mkubwa, shinikizo la juu la damu na shinikizo la chini la damu na changamoto nyingine za kiafya.

Pata suluhisho bora la changamoto yako ya kiafya kutoka kwetu.

Sisi ni suhulisho la tatizo lako na magonjwa sugu. Green Phytotherapy clinic tunajali afya yako. Karibu tukuhudumie.

Maono Yetu au matarajio yetu

Ni kupambana na magonjwa lishe, matatizo ya mfumo wa mmengenyo wa chakula na magonjwa yasiyo ambukizwa kwa kutumia lishe na tiba asili za mimea.

Kazi yetu au dhumuni letu

Ni kuboresha afya kupitia matibabu na udhibiti wa matatizo ya mfumo wa mmengenyo wa chakula.

Misingi na maadili yetu ya kazi

Uponyaji wa magonjwa. matokeo chanya, ubora na ubunifu katika huduma zetu.

Wagonjwa waliopona
0
Huduma tunazotoa
0
Miaka ya uzoefu kazini
0
Vitabu vyetu
0