Kitabu cha nguvu za kiume

KITABU CHA "TIBA LISHE NA NGUVU ZA KIUME" ni kitabu kilichosajiliwa chenye ISBN 978-9976-88-889-8.

Ni kitabu kizuri sana ambacho kila mwanaume wa karne ya 21 hatakiwi kukikosa kwasababu kinamfanya mwanaume kurejesha NGUVU ZOTE ZA KIUME, AFYA YA UZAZI na kuwa RIJALI TENA!

FAIDA ZA KITABU HIKI KITAKUSAIDIA KUTATUA KABISA CHANGAMOTO ZIFUATAZO:-
1. Kuwai kufika kileleni.
2. Kushindwa kurudia tendo la ndoa.
3. Kuchelewa kurudia tendo la ndoa.
4. Kukosa hamu ya tendo la ndoa.
5. Uume kusimama legelege.
6. Kushindwa kushiriki tendo la ndoa(Hanisi/Impotance).
7. Kutoa mbegu zisizo na ubora.
8. Kutoa mbegu zinazotoa harufu mbaya.
9. Kushindwa kutungisha mimba.

PIA KWENYE KITABU HIKI UTAFAIDI MWONGOZO WA MAMBO YAFUATAYO:-
1. Matunda, ambayo yatakusaidia Uume wako kuimarika na mfumo mzima wa mtiririko wa damu ukae sawa Ili uweze kusimamisha uume muda mrefu bila kusinyaa kama ulivyo sasa.
2. Maji kulingana na uzito wako(kuna umuhimu mkubwa sana wa maji katika nguvu za kiume hususani ukitumia kulingana na uzito wako yaani BMI-BMR.
3. Chakula sahihi kulingana na group lako la damu vitakavyokusaidia kuhahikisha unakuwa sawa na kufufua cell zako na hormone ku’balance.
Ni mahususi kwa ajili ya kuhakikisha seli zinakua, kufufua na kujenga cell zako , misuli inayopitisha damu na mishipa ya uume kuwa sawa sawa.
4. Vifaa kama matunda ni rahisi upatikanaji wake na ata mazoezi pia ni rahisi kuyafanya sababu hayakuhitaji kwenda Gym unaweza kuyafanya ata kwenye kinafasi kidogo.
5. Mazoezi maalum yanayoendana na group lako la damu , Kwa ajili ya kuhakikisha yanaimarisha mwili wako na ubongo wako kwa ujumla hususani kwa mwanaume aliye athriwa na punyeto au masturbation.

NB: KITABU HIKI NI ZAIDI YA DAWA KWASABABU WANAUME WENGI WAMEJIKUTA WANAPATA WATOTO KUPITIA KITABU HIKI!

KITABU CHA "TOKOMEZA BAWASIRI" ni kitabu kilichosajiliwa chenye ISBN 978-9976-88-889-8.

Kitabu hiki ni kizuri sana ambacho kila mwanadamu mwenye bawasiri, ambaye amewai kupata bawasiri, au mtu yeyote anayetaka kujikinga na bawasiri anatakiwa kukipata kitabu hiki.

FAIDA ZA KITABU HIKI KITAKUSAIDIA KUTATUA KABISA CHANGAMOTO ZIFUATAZO:-
1. Kuondokana na changamoto ya kinyama sehemu ya tundu ya haja kubwa.
2. Kuondokana kabisa changamoto ya choo kigumu na choo chenye damu.
3. Kuondokana na choo kigumu.
4. Kuondokana na changamoto ya miwasho na kuwaka moto sehemu ya tundu la haja kubwa.

NB: KITABU HIKI NI ZAIDI YA DAWA KWASABABU KITAKUSAIDIA KUONDOKANA NA BAWASIRI MOJA KWA MOJA NA KUFAHAMU NJIA RAHISI YA KUONDOKANA NA VYANZO VYA TATIZO HILI LA BAWASIRI UKISHAPONA.