Suluhisho la kitambi, manyama uzembe na tumbo kubwa
Kitambi ni tatizo la lishe ambalo ni matokeo ya hifadhi kubwa ya mafuta kwenye tumbo na au kwenye mzunguko wa kiuno.
Mafuta hayo yanatokana na wingi wa “calories” yaani nishati ambayo chanzo chake ni Glukozi kwenye damu, ambayo hutumika kama chanzo cha nishati mwilini kwa kuunguzwa na seli za viungo mbalimbali vya mwili.
Glukozi ni sukari yaani kitaalamu huitwa “simple sugar”
Chanzo kikuu cha Glukozi huwa ni Wanga(CARBOHYDRATE) na CARBONATED DRINKS mfano soda isipokuwa baadhi ya soda kama coca zero, crest water, n.k.
Ambazo huwekewa “recipes” maalum kwaajili ya watu flani au wenye tatizo flani.
Ifahamike kuwa hata vyakula vingine vyenye virutubisho vya protini na vyakula vya mafuta, matunda, na mboga za majani vinaweza kuzalisha Glukozi ambayo ndiyo huvunjwa na kutengeneza “calories” yaani nishati ya ziada ambayo hubadilishwa na mwili na kuifadhiwa sehemu maalum kwaajili ya kuhifadhi kiwango cha nishati au chakula kilichozidi mwilini mfano kwenye mzunguko wa kiuno ambazo baadae huitwa “MANYAMA UZEMBE” na kwenye mzunguko wa tumbo(KITAMBI).
Kitambi ni tatizo la lishe ambalo ni matokeo ya hifadhi kubwa ya mafuta kwenye tumbo na au kwenye mzunguko wa kiuno.
Na maeneo mengine kama vile sehemu ya makalio, hips, kifuani, mapaja na mikono, na baadhi ya viungo vya ndani kama vile sehemu zilizozunguka moyo hutumika kuifadhi calories/nishati/Glukozi zilizozidi ambazo hubadilishwa na kuifadhiwa kama mafuta(lipids/fats) na kuhifadhiwa maeneo niliyoyataja hapo juu.
Na kwasababu hii ndio maana asilimia kubwa mtu mwenye kitambi au manyama uzembe wengi wao wanakuwa hatarini kupata SHINIKIZO LA JUU LA DAMU/presha (hypertension)
NB: Siyo kila vyakula vyenye wanga ni vibaya kwasababu watu wengi wamekaririshwa vibaya kuwa wanga wote ni mbaya na kusahau kuwa upo wanga ambao unatokana na nafaka zisizo koborewa kama vile Ugali wa dona, Mchele wa brown, Viazi Vitamu n.k
Wanga unaotokana na nafaka zilizokoborewa Glukozi yake huwa inainaingia haraka kwenye mzunguko damu kwa sababu nafaka zilizo koborewa huwa zimeshaondolewa na makapi/pumba ambayo yamebeba wingi wa virutubisho mfano vitamini B3(Niacin) ambayo mara nyingi husaidia kafanya “carbohydrate metabolism” kitendo ambacho husaidia mwili kutumia Wanga mwilini na kuleta mzunguko mzuri wa damu.
Pia makapi hayo au pumba husaidia katika kufyonza maji kwenye mfumo wa mmengenyo wa chakula na kusaidia kulainisha choo kwa mhanga wa bawasili.
Hivyo basi, si kila wangani mbaya na si kila wanga ni mzuri laKini mwongozo mzuri unaweza kuupata kupitia huduma yetu ya kupunguza uzito mfano: Wanga wa Viazi Vitamu Vyeupe ni “resistant starch” yaani ni wanga usiyozalisha Glukozi moja kwa moja kama ilivyo wanga mwingine hivyo vyakula hivi vinaweza kumsaidia mtu katika Safari yake ya kupunguza KITAMBI au MANYAMA UZEMBE.
Pia na nafaka zisizo kobolewa.
Kwanini mtu apate kitambi?
Kitambi na manyama UZEMBE hutokea pale kiwango cha “Calories”/nishati iliyozalishwa kutoka kwenye chakula ulichokula ikiwa ni kubwa kuliko “Calories”/nishati iliyotumiwa na mwili wako. Hapo ndipo mwili hufanya njia mbadala ya kuhifadhi Calories hizo na kusababisha kitambi, manyama UZEMBE, n.k
yaani “Energy INTAKES must be equal to energy EXPENDITURES”
Nini kifanyike ili uondokane na changamoto ya uzito mkubwa, kitambi, manyama uzembe na tumbo kubwa?
Tumia SET ya huduma hii inayojumuisha huduma zifuatazo:-
1. Dawa ya “KATA UZITO PLUS” ambayo imewasaidia wengi kiondokana na changamoto ya uzito mkubwa kabisa kabisa.
2. Program ya kupunguza uzito kupitia ulaji iliyoandaliwa na wataalam wa Chakula na Lishe(Nutritionist and Dieticians).
Faida za kupata set ya huduma hii ya kupunguza uzito, kitambi na manyama uzembe
Unapata dawa ya asili ya “KATA UZITO PLUS” yenye uwezo mkubwa sana wa kupunguza uzito.
Unapata na program yenye mwongozo itakayokusaidia kuepukana na uzito mkubwa, kitambi, manyama uzembe na tumbo kubwa maisha yako yote.
Kupunguza Uzito kitaalam bila kukuachia madhara yoyote kama vile kuporomoka kwa mashavu n.k
Huduma hii inakufanya kuwa na mwonekano mzuri.
Huduma hii inakusaidia kuimarisha afya yako na kukuepusha na matatizo ya mvurugiko wa vichocheo vya mwili(hormonal Imbalance) yanayoweza kutokana na kupungua kwa uzito.